
Pichani ni Mr. Titus Philipo ambaye ni Kaimu Meneja na Mhariri Mkuu wa CG FM Radio akizungumza wakati wa utoaji wa zawadi za Kapu la Mwaka Mpya Leo 25 /01/2018. Ambapo mshindi wa Kwanza alikuwa Bi Kalunde Kaseka, wa pili Bw. Bahati Daudi na mshindi wa tatu ni George Franco. #SIKILIZA 89.5 FM MHz Kila wakati.