Skip to content
CGFM
  • Home
  • Listen Live
  • News
  • Presenters
  • Gallery
  • Advertise
International

Rais Trump aombwa kuchukua choo cha dhahabu badala ya…

  • January 26, 2018

Jumba la kumbukumbu la Guggenheim mjini New York limekataa ombi kutoka kwa rais Donald Trump la kutaka kupewa mchoro wa msanii Van Gogh ili kuwekwa katika ikulu ya Whitehouse kulingana na vyombo vya habari.

Jumba hilo liliomba msamaha kwa kutoweza kupeana picha hiyo na badala yake likaomba kumpatia rais Trump choo cha dhahabu kulingana na gazeti la The Washington Post.

Lakini jumba hilo la kumbukumbu lilipendekeza limpatie rais Trump kiti hicho cha choo chenye dhahabu karati 18.

Ikulu ya Whitehouse haijatoa tamko lolote.

Kulingana na gazeti hilo,mhifadhi wa vitu katika jumba hiloi Nancy Spector aliojibu ombi hilo la Ikulu mwezi Septemba.

”Naomba msamaha…kukujulisha kwamba hatuwezi kushiriki katika kukupatia picha hiyo kwa kuwa ni miongoni mwa mkusanyiko wa Thannhauser ambao hawaruhusiwi kutoka nje ijapokuwa kwa maswala yasio ya kawaida”, aliandika katika barua pepe.

Picha hiyo ya 1888 ya Van Gogh, barua hiyo iliongezea itaonyeshwa katika taasisi dada kutokana na ruhusa kutoka kwa wamiliki wake.

Hatahivyo , muhifadhi huyo ameongezea kwamba choo hicho cha dhahabu kilichotengezwa na msaani wa Itali Maurizio Cattelan kiko tayari kwenda Ikulu kwa ”mkopo wa muda mrefu”.

Ni jambo la kawaida kwa marais wa Marekani na wake zao kuomba kazi za usanii ili kupamba baadhi ya vyumba katika Ikulu ya Whitehouse.

Share this:

  • Click to share on Twitter (Opens in new window)
  • Click to share on Facebook (Opens in new window)
  • Click to share on Google+ (Opens in new window)

Related

Mzee Majuto alazwa hospitali ya Muhimbili
Ajali ya moto yaua watu zaidi ya 30 Korea Kusini.

Related articles

Mabaki ya ndege iliotoweka na…
Refa Mkenya aliyeteuliwa na Fifa…
Rais Madagascar ateuwa waziri mkuu…
Bodi ya usimamizi wa shule…
Mchungaji auawa akiwabatiza waumini Ziwani
Volkano yasabisha vifo vya watu…

Leave a Reply Cancel reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *

On Air Now

Download CG Google App here

CLICK TO PLAY CG ONLINE TV

Advertise here

ABOUT US

CG FM RADIO is the radio station that based in Tabora – Tanzania that targets all age groups. Due to its moral observation and ethical programs, CG FM radio continues to have a lot of audience which makes us the best on western zone.

YOU ARE HOME

TWITTER

My Tweets

Menu

  • HOME
  • News
  • Listen Live
  • Advertise