Skip to content
CGFM
  • Home
  • Listen Live
  • News
  • Presenters
  • Gallery
  • Advertise
Local

RC Kilimanjaro, Mhe. Anna Mgwira ahamia CCM.

  • December 8, 2017

Mkuu wa Mkoa wa Kilimajaro, Mhe. Anna Mgwira amehamia Chama cha Mapinduzi (CCM) akitokea Chama cha ACT Wazalendo.

Mhe. RC Mgwira aliwahi kuwa Mwenyekiti wa ACT Wazalendo kabla ya kuteuliwa na Rais Dkt. John Magufuli kuwa Mkuu wa Mkoa na kuachana na nafasi hiyo ndani ya chama hicho na mwanachama wa kawaida.

Mhe. RC Mgwira ametangaza uamuzi huo leo hii wakati wa Mkutano Mkuu wa UWT uliofanyika mjini Dodoma ambapo amesema baada ya kujitakari kwa muda na kufanya kazi na serikali ameona ni muda muhafaka kutamka kuwa anahamia CCM.

“Kwa muda mfupi nimeiona CCM inayobadilika, nimeona juhudi za kila mtu, ninaiona CCM inayoanza kukataa rushwa, nimeiona CCM inayoanza kulipeleka taifa letu mbele” amesema Mhe. RC Mgwirwa.

Chanzo:Bongo5

Share this:

  • Click to share on Twitter (Opens in new window)
  • Click to share on Facebook (Opens in new window)
  • Click to share on Google+ (Opens in new window)

Related

Kesi ya uhujumu uchumi inayowakabili vigogo wa IPTL bado tete
Papa Francis, Guterres watoa maoni uamuzi wa Trump juu ya Israel.

Related articles

Msanii Sam wa Ukweli ameaga…
Mazishi ya pacha Maria na…
Vladmir Putin aizuru Austria.
Jeshi la Zimamoto lakanusha madai…
TABORA: Biashara ya Magimbi yashamiri…
Serikali imetenga fedha kwa ajili…

Leave a Reply Cancel reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *

On Air Now

Download CG Google App here

CLICK TO PLAY CG ONLINE TV

Advertise here

ABOUT US

CG FM RADIO is the radio station that based in Tabora – Tanzania that targets all age groups. Due to its moral observation and ethical programs, CG FM radio continues to have a lot of audience which makes us the best on western zone.

YOU ARE HOME

TWITTER

My Tweets

Menu

  • HOME
  • News
  • Listen Live
  • Advertise