Skip to content
CGFM
  • Home
  • Listen Live
  • News
  • Presenters
  • Gallery
  • Advertise

Salamu kwa lugha ya kiarabu zazua hofu Israel.

  • October 23, 2017
Askari Polisi wa Israel.

Polisi wa Israel walimkamata mwanamume mpalestina wiki iliyopiwa, baada ya kuchapisha salamu kwenye mtandao wa Facebook akisema “habari za asubuhi” kwa lugha ya kiarabu, lakini salamu hizo zikatafsiriwa visivyo kumaanisha “washambulie” kwa lugha ya kiyahudi.

Polisi walithibitisha kuwa mfanyakazi huyo alikamatwa kwa muda mfupi kwa kushukiwa kuchochea lakini akaachiliwa kabla ya makosa hayo kutambuliwa.

Chapisho hilo lilionyesha picha ya mfanyakazi huyo akisimama kando ya tinga tinga katika ukingo wa magharibi.

Magari kama hayo yametumiwa kuwashgambulia waisraeli awli.

Hakuna afisa anayezungumza lugha ya kiarabu aliombwa ushauri kabla ya mtu huyo kukamatwa

Chapisho hilo lililotiliwa shaka kwa sasa limefutwa.

Share this:

  • Click to share on Twitter (Opens in new window)
  • Click to share on Facebook (Opens in new window)
  • Click to share on Google+ (Opens in new window)

Related

Jitihada za kutokomeza ndoa za utotoni Afrika Magharibi na Kati.
DJ KHALED NA DIDDY WAFULULIZA PARTY KATIKA KUMBUKUMBU YA KUZALIWA KWA ASAHD KHALED

Related articles

Mabaki ya ndege iliotoweka na…
Refa Mkenya aliyeteuliwa na Fifa…
Rais Madagascar ateuwa waziri mkuu…
Bodi ya usimamizi wa shule…
Mchungaji auawa akiwabatiza waumini Ziwani
Volkano yasabisha vifo vya watu…

Leave a Reply Cancel reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *

On Air Now

Download CG Google App here

CLICK TO PLAY CG ONLINE TV

Advertise here

ABOUT US

CG FM RADIO is the radio station that based in Tabora – Tanzania that targets all age groups. Due to its moral observation and ethical programs, CG FM radio continues to have a lot of audience which makes us the best on western zone.

YOU ARE HOME

TWITTER

My Tweets

Menu

  • HOME
  • News
  • Listen Live
  • Advertise