Skip to content
CGFM
  • Home
  • Listen Live
  • News
  • Presenters
  • Gallery
  • Advertise

Siri za kijeshi za Australia zaibwa kupitia udukuzi

  • October 12, 2017
Ndege ya Kijeshi ya Australia.

Habari za siri kuhusu mpango wa jeshi la serikali ya Australia zimeibwa katika udukuzi wa mtandaoni.

Takriban GB 30 za data zilizokuwa na mwanakandarasi wa serikali zilidukuliwa ,ikiwemo maelezo kuhusu ndege mpya za kijeshi na manuwari.

Data hiyo ilikuwa na siri kubwa lakini haikutajwa kiwango chake kulingana na serikali hiyo.

Maafisa wa kukabiliana na maswala ya usalama wa mitandaoni nchini Australia walimtaja mdukuzi huyo kwa jina ‘Alf’ baada ya jina la muigizaji wa kipindi cha runinga cha ‘Home and Away’.

Udukuzi huo ulianza mnamo mwezi Julai mwaka uliopita lakini idara ya ishara nchini Australia haijkujulishwa hadi mwezi Novemba.

Mdukuzi huyo hajulikani.

Share this:

  • Click to share on Twitter (Opens in new window)
  • Click to share on Facebook (Opens in new window)
  • Click to share on Google+ (Opens in new window)

Related

Trump aonya kufutillia mbali leseni za vyombo vya habari
Hamas na Fatah waingia katika mkataba

Related articles

Mabaki ya ndege iliotoweka na…
Refa Mkenya aliyeteuliwa na Fifa…
Rais Madagascar ateuwa waziri mkuu…
Bodi ya usimamizi wa shule…
Mchungaji auawa akiwabatiza waumini Ziwani
Volkano yasabisha vifo vya watu…

Leave a Reply Cancel reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *

On Air Now

Download CG Google App here

CLICK TO PLAY CG ONLINE TV

Advertise here

ABOUT US

CG FM RADIO is the radio station that based in Tabora – Tanzania that targets all age groups. Due to its moral observation and ethical programs, CG FM radio continues to have a lot of audience which makes us the best on western zone.

YOU ARE HOME

TWITTER

My Tweets

Menu

  • HOME
  • News
  • Listen Live
  • Advertise