Skip to content
CGFM
  • Home
  • Listen Live
  • News
  • Presenters
  • Gallery
  • Advertise
Local

TABORA: Biashara ya Magimbi yashamiri sokoni Kachoma

  • June 5, 2018

Biashara ya zao la magimbi maarufu kama mahole imeshamiri katika soko la KACHOMA mjini TABORA hasa katika mwezi huu Mtukufu wa RAMADHAN.

Akizungumza na CG FM,mmoja wa wafanyabiashara wa zao hilo KHALFAN KABATA amesema kuwa magimbi yanapatikana kwa wingi kipindi hiki na wateja wananunua kwa ajili ya kuandaa futari.

Mafungu ya magimbi kwa sasa yanauzwa kati ya shilingi elfu moja hadi shilling elfu mbili.

Share this:

  • Click to share on Twitter (Opens in new window)
  • Click to share on Facebook (Opens in new window)
  • Click to share on Google+ (Opens in new window)

Related

Mashabiki wa klabu ya YANGA wilayani KALIUA wanaamini timu yao itarejea katika hali ya kawaida uwanjani
Jeshi la Zimamoto lakanusha madai ya kutokupokea simu za taarifa za matukio ya moto.

Related articles

Msanii Sam wa Ukweli ameaga…
Mazishi ya pacha Maria na…
Vladmir Putin aizuru Austria.
Jeshi la Zimamoto lakanusha madai…
Serikali imetenga fedha kwa ajili…
Serikali kuwalipa fidia wananchi wa…

Leave a Reply Cancel reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *

On Air Now

Download CG Google App here

CLICK TO PLAY CG ONLINE TV

Advertise here

ABOUT US

CG FM RADIO is the radio station that based in Tabora – Tanzania that targets all age groups. Due to its moral observation and ethical programs, CG FM radio continues to have a lot of audience which makes us the best on western zone.

YOU ARE HOME

TWITTER

My Tweets

Menu

  • HOME
  • News
  • Listen Live
  • Advertise