Skip to content
CGFM
  • Home
  • Listen Live
  • News
  • Presenters
  • Gallery
  • Advertise

TABORA: Serikali wilayani UYUI itawachukulia hatua kali za kisheria…

  • October 31, 2017

Serikali wilayani UYUI itawachukulia hatua kali za kisheria vijana watakao bainika kuwapa mimba wanafunzi  na kuwataka wazazi na walezi kuwatimizia mahitaji watoto wa kike.

Kauli hiyo imetolewa na Kaimu mkuu wa wilaya ya UYUI,Mwalimu QUEEN MLOZI wakati akizungumza na wananchi katika kijiji cha KASOMELA,kata ya MAGIRI akisema wazazi wabebe jukumu lao la kuwapa mahitaji watoto wa kike.

Kwa upande wao ,wazazi SHABANI ALLY,JULIAS MAGANGA na ANETH JUMA wamesema tatizo la wanafunzi kupewa mimba linatokana wakati mwingine na wazazi kushindwa kuwahudumia,jambo linalosababisha watoto wa kike kuwa na tamaa na hatimaye kupata mimba wakiwa katika umri mdogo.

Share this:

  • Click to share on Twitter (Opens in new window)
  • Click to share on Facebook (Opens in new window)
  • Click to share on Google+ (Opens in new window)

Related

Kiwango cha ukusanyaji wa damu katika Manispaa ya TABORA kimepungua kutoka chupa l,709 hadi chupa 828 kwa mwezi uliopita.
MWANZA: Rais JOHN POMBE MAGUFULI amechangia shilingi miilioni tatu kusaidia kuboresha shule mbili za sekondari za kata ya IGOGO.

Related articles

Msanii Sam wa Ukweli ameaga…
Mazishi ya pacha Maria na…
Vladmir Putin aizuru Austria.
Jeshi la Zimamoto lakanusha madai…
TABORA: Biashara ya Magimbi yashamiri…
Serikali imetenga fedha kwa ajili…

Leave a Reply Cancel reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *

On Air Now

Download CG Google App here

CLICK TO PLAY CG ONLINE TV

Advertise here

ABOUT US

CG FM RADIO is the radio station that based in Tabora – Tanzania that targets all age groups. Due to its moral observation and ethical programs, CG FM radio continues to have a lot of audience which makes us the best on western zone.

YOU ARE HOME

TWITTER

My Tweets

Menu

  • HOME
  • News
  • Listen Live
  • Advertise