Skip to content
CGFM
  • Home
  • Listen Live
  • News
  • Presenters
  • Gallery
  • Advertise
Local

TABORA: Wakulima wa tumbaku wapata hasara, UYUI.

  • May 25, 2018May 25, 2018

Wakulima wa tumbaku katika kijiji cha NSIMBO,wilaya ya UYUI  mkoani TABORA wamepata hasara kubwa kutokana na mvua ya mawe iliyonyesha ikiwa imeambatana na upepo mkali kuharibu zao hilo.

Wakizungumzana CG FM,baadhi ya wakulima JUMA KULWA na ABDALAH KISIMBA wamesema mvua hiyo kipindi cha nyuma iliharibu zao la tumbaku huku wengine wakivuna chini ya kiwango tofauti na matarajio yao.

Wamesema wana mikopo ya taasisi za fedha huku wakitakiwa kulipa kwa wakati mikopo yao jambo ambalo wanapata wakati mgumu kwa wakulima wa zao hilo la tumbaku.

Kwa upande wake mwenyekiti wa chama cha msingi cha nsimbo ihali NKWABI MATEO amesema kuwa mvua hizo ziliharibu kwa wingi zao la tumbaku huku akiomba tasisi za kibenki kuandaa utaratibu kwa wakulima kuweza kulipa madeni yao kwa hawamu.

Amesema kuwa zao la tumbaku limepanda bei tofauti na kipindi cha nyuma ambapo bei yake haikuwa nzuri licha ya kuwa wakulima kuvuna tumbaku chache.

Amesema zaidi ya ekari kumi na nane za tumbaku ziliharibiwa na mvua iliyokuwa imeambatana na upepo mkali siku chache zilizopita.

MWANDISHI:STEPHANIA LAISON,CGFM

Share this:

  • Click to share on Twitter (Opens in new window)
  • Click to share on Facebook (Opens in new window)
  • Click to share on Google+ (Opens in new window)

Related

TABORA:Serikali imezisihi taasisi mbali mbali kuwa mstari wa mbele kuwafuturisha waislamu
TABORA:Wafugaji wa mbwa watakiwa kuona umuhimu wa kuwachanja mbwa wao.

Related articles

Msanii Sam wa Ukweli ameaga…
Mazishi ya pacha Maria na…
Vladmir Putin aizuru Austria.
Jeshi la Zimamoto lakanusha madai…
TABORA: Biashara ya Magimbi yashamiri…
Serikali imetenga fedha kwa ajili…

Leave a Reply Cancel reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *

On Air Now

Download CG Google App here

CLICK TO PLAY CG ONLINE TV

Advertise here

ABOUT US

CG FM RADIO is the radio station that based in Tabora – Tanzania that targets all age groups. Due to its moral observation and ethical programs, CG FM radio continues to have a lot of audience which makes us the best on western zone.

YOU ARE HOME

TWITTER

My Tweets

Menu

  • HOME
  • News
  • Listen Live
  • Advertise