Skip to content
CGFM
  • Home
  • Listen Live
  • News
  • Presenters
  • Gallery
  • Advertise
Local

TABORA:Mradi wa ujenzi wa vyumba 3 vya madarasa wakaribia…

  • March 9, 2018

Mradi wa ujenzi wa vyumba vitatu vya madarasa katika shule ya msingi MAJENGO kata ya MAJENGO wilaya ya UYUI,umefikia asilimiaa 98 kukamilika.

Akizungumzia ujenzi wa mradi huo Afisa elimu kata ya MAJENGO, REVOCATUS NSIMBILA amesema unaambatana na ujenzi wa matundu ya vyoo na utengenezaji madawati.

Akikagua mradi huo Mbunge wa jimbo la TABORA KASKAZINI, ALMASI MAIGE amesema  alijitahidi kuomba serikali fedha za mradi huo na kwamba utakamilika hivi karibuni.

Mwalimu mkuu wa shule ya msingi MAJENGO, KASTOLI TANGWA amesema kukamilika kwa madarasa hayo kutasaidia kupunguza wingi wa wanafunzi kusoma katika darasa moja.

Kwa upande wke Mwalimu ELIZABETH KAMATA amesema watapiga hatua kubwa kitaaluma kulingana na madarasa hayo kukamilika.

Nao wanafunzi wa darasa la saba katika shule hiyo SELEMANI MUSSA na PILI SADIKI wamesema madarasa hayo yatawasaidia wadogo zao walio madarasa ya chini kusoma kwa vizuri.

Baada ya kukamilika ujenzi wa madarasa hayo matatu utaongeza idadi ya vyumba vya madarasa kutoka saba vya awali hadi kufikia kumi.

Share this:

  • Click to share on Twitter (Opens in new window)
  • Click to share on Facebook (Opens in new window)
  • Click to share on Google+ (Opens in new window)

Related

Wanawake DRC wanapigania haki zao kumiliki ardhi
Wakurugenzi watakiwa kuwapa 4% ya fedha za halmashauri kama mikopo kwa wanawake

Related articles

Msanii Sam wa Ukweli ameaga…
Mazishi ya pacha Maria na…
Vladmir Putin aizuru Austria.
Jeshi la Zimamoto lakanusha madai…
TABORA: Biashara ya Magimbi yashamiri…
Serikali imetenga fedha kwa ajili…

Leave a Reply Cancel reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *

On Air Now

Download CG Google App here

CLICK TO PLAY CG ONLINE TV

Advertise here

ABOUT US

CG FM RADIO is the radio station that based in Tabora – Tanzania that targets all age groups. Due to its moral observation and ethical programs, CG FM radio continues to have a lot of audience which makes us the best on western zone.

YOU ARE HOME

TWITTER

My Tweets

Menu

  • HOME
  • News
  • Listen Live
  • Advertise