Skip to content
CGFM
  • Home
  • Listen Live
  • News
  • Presenters
  • Gallery
  • Advertise
Entertainment

Timbulo ampongeza Alikiba na kumkosoa Diamond, kisa kolabo na…

  • December 4, 2017

Muimbaji huyo ambaye anafanya vizuri na ngoma yake mpya ‘Vibaya’ ameiambia The Playlist ya Times Fm kuwa mfano mzuri kolabo ya Diamond na Davido kwani kolabo hiyo ilimtangaza zaidi Davido hapa nchini kuliko Diamond nchini Nigeria.

“Kumshirikisha msanii wa nje ni kumleta hapa, tumemjua Davido baada ya kushirikishwa na Diamond baada hapo Davido alikuwa kama Mtanzania vile, anavyopingwa utasema anatokea Manzese vile lakini Davido hakumsaidia kule. Chukua mziki upeleke kule, Darassa ame-trend mpaka Afrimma hakumshirikisha msanii yeyote wa nje” amesema Timbulo.

Timbulo aliendelea kwa kusema Alikiba ameweza kushinda tuzo bila kolabo na msanii wa nje  na kueleza hivyo ndivyo inatakiwa.

“Mfano Turudi hapa hapa, Alikiba amefanya kazi nyingi na amefikia hatua amechukua tuzo za MTV si kwa kolabo ni kazi za nyumbani, kwa hiyo tunaweza kufanya siyo lazima kolabo nje watu wasikariri” amesisitiza.

Chanzo: Bongo5

Share this:

  • Click to share on Twitter (Opens in new window)
  • Click to share on Facebook (Opens in new window)
  • Click to share on Google+ (Opens in new window)

Related

Usiku wa Kitendawili kufufua upya Uzalendo na Utaifa – Mrisho Mpoto
Ufafanuzi wa Jacqueline Wolper kuhusu Alikiba, ni baada ya kusema anampenda

Related articles

Msanii Sam wa Ukweli ameaga…
Mazishi ya pacha Maria na…
Vladmir Putin aizuru Austria.
Jeshi la Zimamoto lakanusha madai…
TABORA: Biashara ya Magimbi yashamiri…
Mashabiki wa klabu ya YANGA…

Leave a Reply Cancel reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *

On Air Now

Download CG Google App here

CLICK TO PLAY CG ONLINE TV

Advertise here

ABOUT US

CG FM RADIO is the radio station that based in Tabora – Tanzania that targets all age groups. Due to its moral observation and ethical programs, CG FM radio continues to have a lot of audience which makes us the best on western zone.

YOU ARE HOME

TWITTER

My Tweets

Menu

  • HOME
  • News
  • Listen Live
  • Advertise