Tiwa Savage aachia mixtape yake inayokwenda kwa jina la…
Mixtape hiyo aliyoitoa leo inajumla ya ngoma sita itauza kiasi cha dola 5.94 sawa na kiasi cha shilingi 13,327.53 za kitanzania na ngoma kama ‘Ma Lo’ aliyomshirikisha Wizkid na Spellz pamoja na ‘All Over’ zitapatika humo, ngoma zingine zitakazopatikana katika albamu ni kama vile Sugarcane iliyobeba jina la albamu yenyewe, me and you pamoja na hold me down.