Skip to content
CGFM
  • Home
  • Listen Live
  • News
  • Presenters
  • Gallery
  • Advertise
Entertainment

Ufafanuzi wa Jacqueline Wolper kuhusu Alikiba, ni baada ya…

  • December 4, 2017

Msanii wa Filamu Bongo, Jacqueline Wolper amefunguka ukaribu wake na Alikiba.

Wolper amelazimika kuzungumzia ukaribu wake na msanii huyo mara baada ya kuandika ujumbe wenye hisia za aina yake katika kumtakia kheri ya siku ya kuzaliwa Alikiba.

“Hatuna urafiki lakini mtu ambaye namjua toka zamani kabla ya yeye hajawa staa na mimi sijawa staa, kwa hiyo tunajua zamani lakini pia hatujawahi kukoseana adabu, kututukanani kwenye mitandao au kukosoana” Wolper ameiambia FNL ya EATV.

“Kuna vitu ambavyo ameniheshimu, unapomu-wish mtu kuna feeling, kile kitu ambacho kinakujia moyoni inabidi ukifanye na kimeshakujia, so ilinijia na kuna vitu nilikumbuka nikasema ngoja niandike kwa sababu ni kweli kutokana na tulivyokuwa tunaishi miaka ya 2000 huko” amesisitiza.

Ujumbe alioandika Wolper kwa Alikiba ulisomeka, “Happy birthday to you Ally!I love you and you know that!More life Kiperete wangu…!”.

Kipindi cha nyuma wawili hawa walishakuwa katika uhusiano ya kimapenzi.

Chanzo: Bongo5

Share this:

  • Click to share on Twitter (Opens in new window)
  • Click to share on Facebook (Opens in new window)
  • Click to share on Google+ (Opens in new window)

Related

Timbulo ampongeza Alikiba na kumkosoa Diamond, kisa kolabo na wasanii wa nje.
Wanawake mkoani TABORA wamehimizwa kuvaa mavazi ya heshima ili kuepuka kuwashawishi wanaume kuwafanyia vitendo vya ukatili wa kijinsia.

Related articles

Msanii Sam wa Ukweli ameaga…
Mazishi ya pacha Maria na…
Vladmir Putin aizuru Austria.
Jeshi la Zimamoto lakanusha madai…
TABORA: Biashara ya Magimbi yashamiri…
Mashabiki wa klabu ya YANGA…

Leave a Reply Cancel reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *

On Air Now

Download CG Google App here

CLICK TO PLAY CG ONLINE TV

Advertise here

ABOUT US

CG FM RADIO is the radio station that based in Tabora – Tanzania that targets all age groups. Due to its moral observation and ethical programs, CG FM radio continues to have a lot of audience which makes us the best on western zone.

YOU ARE HOME

TWITTER

My Tweets

Menu

  • HOME
  • News
  • Listen Live
  • Advertise