Skip to content
CGFM
  • Home
  • Listen Live
  • News
  • Presenters
  • Gallery
  • Advertise

Watu 12 wa Rohingya wafa maji wakijaribu kuvuka kwenda…

  • October 9, 2017October 9, 2017
Watu 12 wa Rohingya wafa maji wakijaribu kuvuka kwenda Bangladesh.

Takariban watu 12 wamefariki wakati mashua iliyokuwa imebeba waislamu wa Roningya wanaokimbia ghasia nchini Myanmar ilizama karibu na Bangladesh.

Watu kadha hawajukani waliko baada ya ajali hiyo iliyotokea kwenye mto Naf siku ya Jumapili. Inaamiwa hadi watu 100 wakiwemo watoto walikuwa kwenye mashua hiyo.

Shughuli ya uokoaji kwa sasa inaendelea.

Watu 12 wa Rohingya wafa maji wakijaribu kuvuka kwenda Bangladesh.

Watu kadha wa jamii ya Rohingya tayari wamefariki wanapojaribu kuvuka kweda nchi jirani ya Bangladesh kutokana na oparesheni ya kijeshi inayoendelea jimbo la Rakhaine.

Idadi kamili ya watu waliokuwa ndani ya mashua haijulikani lakini maafisa wa mpakani nchini Bangladesh wanasema kuwa walikuwa ni kati ya watu 40 hadi 100.

Maafisa wanasema kuwa miili ya watoto 10, mwanamke na mwanamume imepatikana hadi sasa.

Maafisa wanasema kuwa miili ya watoto 10, mwanamke na mwanamume imepatikana hadi sasa.

 

 

 

Share this:

  • Click to share on Twitter (Opens in new window)
  • Click to share on Facebook (Opens in new window)
  • Click to share on Google+ (Opens in new window)

Related

Nelly adaiwa kubaka katika tamasha la muziki
Wananchi wametakiwa kuepuka matumizi ya bidhaa za vyakula na dawa zilizopita muda wake wa matumizi pamoja na vipodozi vyenye viambata sumu ili kujiepusha na madhara wanayoweza kumpata mtumiaji.

Related articles

Mabaki ya ndege iliotoweka na…
Refa Mkenya aliyeteuliwa na Fifa…
Rais Madagascar ateuwa waziri mkuu…
Bodi ya usimamizi wa shule…
Mchungaji auawa akiwabatiza waumini Ziwani
Volkano yasabisha vifo vya watu…

Leave a Reply Cancel reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *

On Air Now

Download CG Google App here

CLICK TO PLAY CG ONLINE TV

Advertise here

ABOUT US

CG FM RADIO is the radio station that based in Tabora – Tanzania that targets all age groups. Due to its moral observation and ethical programs, CG FM radio continues to have a lot of audience which makes us the best on western zone.

YOU ARE HOME

TWITTER

My Tweets

Menu

  • HOME
  • News
  • Listen Live
  • Advertise