Skip to content
CGFM
  • Home
  • Listen Live
  • News
  • Presenters
  • Gallery
  • Advertise
Entertainment

Watu wengi wapigwa risasi mjini Las Vegas

  • October 2, 2017October 2, 2017

 

Tabriban watu 2 wameuawa na huku wengine 24 wamejeruhiwa kwenye ufyatuaji wa risasi wakati wa tamasha moja huko Las Vegas.

Mtu mwenye silaha alifyatua risasi katika tamasha moja la muziki wenye hoteli ya Mandalay Bay mjini humo.

Mamia ya watu walikimbia eneo hil na milio ya risasi ilisika kwa muda kwenye video zilizochapishwa kwenye mitandao ya kijamii.

Polisi wakiwa nje ya Jengo la hotel ya Mandalay

Ufyatuaji huo ulitokea mwendo wa saa 05:30 GMT na walioshuhudia walisema kuwa mamia ya risasi zilifyatuliwa.

Polisi akiwa nje ya hoteli ya Mandalay.

 

Usafiri wa ndege umesitishwa kutoka uwanja wa ndege wa McCarran mjini Las Vegas.

Watu 2 wamekufa huku wengine 24 wakijeruhiwa vibaya.

 

Share this:

  • Click to share on Twitter (Opens in new window)
  • Click to share on Facebook (Opens in new window)
  • Click to share on Google+ (Opens in new window)

Related

Wachezaji wa Soka wampinga Trump Marekani.
Chuo Kikuu cha Nairobi chafungwa kwa sababu za kiusalama.

Related articles

Mabaki ya ndege iliotoweka na…
Refa Mkenya aliyeteuliwa na Fifa…
Rais Madagascar ateuwa waziri mkuu…
Bodi ya usimamizi wa shule…
Mchungaji auawa akiwabatiza waumini Ziwani
Mashabiki wa klabu ya YANGA…

Leave a Reply Cancel reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *

On Air Now

Download CG Google App here

CLICK TO PLAY CG ONLINE TV

Advertise here

ABOUT US

CG FM RADIO is the radio station that based in Tabora – Tanzania that targets all age groups. Due to its moral observation and ethical programs, CG FM radio continues to have a lot of audience which makes us the best on western zone.

YOU ARE HOME

TWITTER

My Tweets

Menu

  • HOME
  • News
  • Listen Live
  • Advertise